top of page
Post: Blog2 Post

OLRCP Announcements.

31st October 2021


1. Every First and Second Sunday of the month, we normally offer our tithe to the Lord. Next Sunday, 7th November 2021, will be the first Tithe Sunday. Our Parish Tithe Mpesa paybill no is 867165.


2. Tomorrow Monday, 1st November 2021, is the Solemnity of ALL SAINTS. It’s a day of obligation for all Catholics. We shall have two masses; the first one at 7.00am and the second one at 6.00 P.M.


3. The Feast of ALL SOULS is on Tuesday, 2nd November 2021. We shall have two Masses; the first one at 7.00am and the second one at 6.00 P.M.


4. November is the month to pray for the Faithful departed (Family members, friends and relatives). Kindly pick an envelope marked “Departed Faithful” from the Church pillars and write the names of the departed and drop them with your contribution in the “Departed Faithful” box at the sanctuary.


5. Fr. will visit the sick and the elderly on Tuesday, 2nd November 2021, starting at 9.00am. Kindly register at the Parish Tent


6. Mass for Blessed Irene SCC is on Tuesday, 02/11/2021, at 6.30pm, at St. Maria Goretti Hall.


7. Mass for St. Claire SCC is on Wednesday, 03/11/2021, at 7.00pm, at St. Maria Goretti Hall.


8. Mass for St. Peter the Rock SCC is on Thursday, 04/11/2021, at 7.00pm, at St. Maria Goretti Hall

9. Marriage Banns: For the Second time: we announce marriage between Benard Ndichu and Phyllis Kananu. Benard is son to James Kiriga and Margaret Wangui. Phyllis is daughter to Joseph Kiria Mwamba and Catherine Karimi Magambo.


10. Marriage Banns: For the Second time: we announce marriage between Paschal Basil O. Ugwu and Edith Chioma Nnaemeka. Paschal is son to Basil Ugwuonah and Theresa Oyima Odoh. Edith is daughter to Paul Nnaemeka and Fidelia Nnaemeka


11. Marriage Banns: For the Second time: we announce marriage between Linus Kimutai and Chepkirui Catherine. Linus is son to Scholastica Chelimo and the late Sebastian Arap Too. Catherine is daughter to Edward Ngetich and Roseline Ngetich


Should there be any reason that the above should not wed, do not hesitate to consult the Father In Charge.


12. We encourage all of us to observe the Covid protocols as advised by the government.


Next Sunday’s Mass Animation

1st Mass: Blessed Irene SCC

2nd Mass: St. Claire SCC

3rd mass: Catholic Men Association


We acknowledge all those who have joined us today for the first time, Welcome to our Parish.


THANK YOU FOR WORSHIPPING WITH US AND FOR YOUR SUPPORT TO OUR PARISH. HAVE A BLESSED WEEK AHEAD


Our Parish Sadaka Mpesa Pay bill No. is 684456



Muringa/Huruma 31 Oktoba 2021

MATANGAZO

1. Jumapili ijayo, 07/11/2021 ni Jumapili ya kwanza ya mwezi. Tunaombwa kujitayarisha na fungu letu la kumi. Bahasha za fungu la kumi zinapatikana katika vijisanduku vya bahasha vilivyomo nyuma karibu na mlango wa kanisa.


2. Kesho Jumatatu tarehe, 1/11/2021, ni sherehe kuu ya watakatifu wote, wakatoliki wote wanawajibika kuhudhuria ibada ya misa. Tutakuwa na misa saa kumi na mbili jioni hapa kanisani (6.00pm)


3. Maadhimisho ya siku ya wafu ni tarehe 2/11/2021.


4. Novemba ni mwezi wa kuombea marehemu(wanafamilia, marafiki, ndugu na jamii). Tafadhali chukua bahasha iliyoandikikwa “Departed Faithful” Kutoka kwa katekista na uandike majina ya marehemu na uweke bahasha kwenye mfuko wa sadaka.


5. Ubatizo wa watoto wachanga ni Jumamosi ijayo tarehe 6/11/2021 saa nne kamili.


6. Padre atatembelea wagonjwa na wazee Jumanne tarehe 02/11/2021, Saa tatu asubuhi. Tafadhali jiadikishe kwa katekista.


TUNAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NA KWA UKARIMU WENU. MUNGU AZIDI KUWABARIKI.



Karura 31 Oktoba 2021

MATANGAZO

1. Jumapili ijayo, 07/11/2021 ni Jumapili ya kwanza ya mwezi. Tunaombwa kujitayarisha na fungu letu la kumi. Bahasha za fungu la kumi zinapatikana hapa mbele ya kanisa kwa pulpit.


2. Kesho jumatatu tarehe, 1/11/2021, ni sherehe kuu ya watakatifu wote, wakatoliki wote wanawajibika kuhudhuria ibada ya misa. Tutakuwa na misa huko parokiani saa moja asubuhi na saa kumi na mbili jioni.


3. Maadhimisho ya siku ya wafu ni tarehe 2/11/2021.


4. Novemba ni mwezi wa kuombea marehemu(wanafamilia, marafiki, ndugu na jamii). Tafadhali chukua bahasha iliyoandikikwa “Departed Faithful” Kutoka kwa katekista na uandike majina ya marehemu na uweke bahasha kwenye mfuko wa sadaka.


5. Ubatizo wa watoto wachanga ni Jumamosi hii tarehe 6/11/2021 saa nne kamili.


6. Padre atatembelea wagonjwa na wazee Jumanne tarehe 02/11/2021, Saa tatu asubuhi. Tafadhali jiadikishe kwa katekista.


TUNAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NA KWA UKARIMU WENU. MUNGU AZIDI KUWABARIKI.

Commenti


bottom of page