29th May 2022
1. Every First and Second Sunday of the month, we normally offer our tithe to the Lord. Next Sunday, 5th June 2022, will be the first Tithe Sunday. Our Parish Tithe Mpesa paybill no is 867165.
2. Classes for Baptism, 1st Holy Communion and Confirmation for children and adults take place, every Sunday at 10.00am and 12.00noon respectively, at St. Monica hall for Children and St. Cecilia hall for adults. Kindly register at the tent. Deadline for registration is today. Classes will begin next Sunday, 5th June 2022.
3. Mass for St. Peter the Rock Small Christian Community is on Thursday, 2/06/2022, at 7.00pm.
4. Mass for Charismatic group is on Thursday, 2/06/2022, at 6.45pm
5. Marriage Banns: for the First time. We announce marriage between Brian Richard Kamau and Maureen Wanjiru. Brian is son to John Gitau Kamau and Jane Wangui Gitau. Maureen is daughter to James Mwangi Kagure and Veronica Nyandia Mwangi
Should there be any reason that the above should not wed, do not hesitate to consult the Father In Charge.
Next Sunday’s Mass Animation
1st Mass: Couples for Christ
2nd Mass: Charismatic group
3rd mass: St. Claire SCC
THANK YOU ALL FOR WORSHIPPING WITH US AND FOR YOUR SUPPORT TO OUR PARISH. HAVE A BLESSED WEEK AHEAD
Our Parish Sadaka Mpesa Pay bill No. is 684456
MURINGA
MATANGAZO
1. Jumapili ijayo, 05/6/2022 ni Jumapili ya kwanza ya mwezi. Tunaombwa kujitayarisha na fungu letu la kumi. Bahasha za fungu la kumi zinapatikana katika vijisanduku vya bahasha vilivyomo nyuma karibu na mlango wa kanisa.
2. Masomo ya Ubatizo, Eukaristi ya kwanza na Kipaimara kwa Watoto yataanza tarehe 11 Juni 2022, Tafadhali jiandikishe kwa katekista.
3. Masomo ya Ubatizo, Eukaristi ya kwanza na Kipaimara kwa Watu Wazima, yataanza tarehe 8 Juni 2022.
4. Kutakuwa na misa katika Jumuiya ya Mtakatifu Stephano Alhamisi tarehe 02/06/2022, saa kumi na moja unusu Jioni. (5.30pm)
TUNAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NA KWA UKARIMU WENU. MUNGU AZIDI KUWABARIKI.
KARURA
MATANGAZO
1. Jumapili ijayo, 05/6/2022 ni Jumapili ya kwanza ya mwezi. Tunaombwa kujitayarisha na fungu letu la kumi. Bahasha za fungu la kumi zinapatikana hapa mbele ya kanisa kwa pulpit.
2. Masomo ya Ubatizo, Eukaristi ya kwanza na Kipaimara kwa Watoto na Watu Wazima, yataanza tarehe 11 Juni 2022. Tafadhali jiandikishe kwa katekista.
3. Kutakuwa na misa katika Jumuiya ya Mtakatifu Charles Lwanga Ijumaa tarehe 03/06/2022, saa kumi na moja unusu Jioni. (5.30pm)
TUNAWASHUKURU WOTE KWA USHIRIKIANO WENU NA KWA UKARIMU WENU. MUNGU AZIDI KUWABARIKI.
Comments